Skip to main content

Posts

Showing posts from January, 2019

Jinsi ya kutumia nginx kama proxy au load balancer

Je una application ambayo inalisten kwenye port fulani na ungependa port isiwepo kwenye url ya hiyo application? Au una nodejs application inayorun kwenye port fulani? kiufupi unataka kubadili https://domain.com:8080/api kuwa https://domain.com/app1/api Katika somo hili tutajifunza namna ya kutumia nginx kama proxy. nginx ni web server maarufu sana, pamoja na umaarufu wake kama web server pia inaweza kutumika kama proxy au load balancer. 1. Basic setup server { listen 80; server_name domain.com www.domain.com; ... location /app1/api { proxy_pass http://localhost:8080; } ... } location /app1/api inaiambia nginx ifananishe path ya url kama imematch /app1/api basi ipitishe request zote kwenda kwenye upstream server iliyopo kwenye url http://localhost:8080. Hii URL inaweza kuwa server nyigine kutegemea application yako ipo wapi. Kwa server nyingine URL inaweza kuwa proxy_pass http://IP_ADDRESS:PORT; 2. HTTP Headers Kwa ka