Skip to main content

Programu kwa C

Karibu katika mfululizo huu utakaokufundisha jinsi ya kuandika programu za kompyuta kwa kutumia lugha ya C. Ukurasa huu utakusadia kufahamu MLOLONGO sahihi wa kufuata wakati unajifunza C kupitia tovuti hii. Hivyo ni vizuri kutumia ukurasa huu kama muongozo utakao kuonesha somo gani linafuata baada ya somo ulilosoma. Ili kwenda kwenye somo flani, bonyeza kichwa(heading) chake hapo chini na moja kwa moja utapelekwa kwenye somo hilo.

Ufuatao ndio MLOLONGO sahihi wa kufuata:

Jinsi kuprogramu kompyuta kunavyofanya kazi

Historia fupi ya C

Jinsi ya kujifunza lugha ya kuprogramu ya C

Programu rahisi ya C: kuandika maandishi kwenye screen

Programu rahisi ya C: kujumlisha namba mbili

Arithmetic katika C

Maamuzi katika programu - Alama za usawa na uhusiano

Algorithm na Pseudocode

Control structures katika C

Comments