Je ungependa kwenda kusoma nchini Japan kwa scholarship? Katika makala hii tutazungumzia scholarship ijulikanayo kama Monbukagakusho(MEXT) yaani wizara ya elimu, utamaduni, michezo, sayansi na teknolojia ya Japan.
Serikali ya japan huwa inatoa scholarship kwa wanafunzi wanaofanya vizuri katika masomo yao kwenda kusoma nchini Japan.
Scholarship hii ni maalumu kwa wanafunzi wanaofanya vizuri masomoni hivyo katika hatua za kuapply huwa kuna mchujo unafanyika wa wanafunzi. Mchujo huu huwa ni mtihani unaofanywa katika ubalozi wa japan katika nchi husika. Mtihani huwa na masomo ya kiingereza, hesabu nk (kwa undergraduate)
Application ya scholarship hii ni moja kwa moja kupitia ubalozi wa Japan uliopo nchini kwako.
Mara nyingi scholarship hii ipo kila mwaka, ingawa kwa baadhi ya miaka nchi kadhaa huwa hazina hii scholarship. Ili kuwa na uhakika juu ya scholarship hii ni vizuri kutembelea ubalozi wa Japan na kuiulizia.

Comments
Post a Comment